Vunja Mbavu 4.0.9

Lesen: Percuma ‎Saiz fail: 3.04 MB
‎Penarafan Pengguna: 2.5/5 - ‎7 ‎Undi

Tentang Vunja Mbavu

Kiswahili: Vunja Mbavu ni programu ya simu janja ambayo inawawezesha watumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavu nyingi zilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwamba kucheka huleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka ni zaidi ya kwa binadamu. Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekesho ambavyo vinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusoma au kuangaliwa na familia pia kwa sababu havina lugha ya kuudhi au matusi. Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi, katuni, picha, sauti, na video jambo linalompa kila mtumiaji wa programu hii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho. Aidha kuna: Vichekesho Vioja Katuni Makala Simulizi Siasa Jamii Picha Video Inggeris: Vunja Mbavu adalah aplikasi yang membolehkan pengguna mencari dan membaca jenaka yang ditulis dalam bahasa Swahili. Kami percaya bahawa ketawa boleh memberi kesan kepada kehidupan yang bahagia dan kami percaya bahawa ketawa adalah lebih daripada ubat kepada orang yang tertekan. Aplikasi Vunja Mbavu mempunyai koleksi jenaka yang berbeza yang boleh membuatkan sesiapa sahaja ketawa dan bersenang-senang. Perkara yang baik ialah; Vunja Mbavu adalah untuk semua orang bahkan jenaka keluarga kerana kita mengawal bahasa kesat dan kami percaya sesiapa sahaja boleh ketawa tanpa mendengar kata-kata kesat.